Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 107:16:35
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
16/02/2024 Duração: 11minMiongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
-
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
16/02/2024 Duração: 11minMiongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
-
What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?
14/02/2024 Duração: 10min"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.
-
Taarifa ya Habari 13 Februari 2024
13/02/2024 Duração: 18minSerikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.
-
Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia
13/02/2024 Duração: 07minIdadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024
09/02/2024 Duração: 18minUchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
-
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji
09/02/2024 Duração: 11minMashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024
09/02/2024 Duração: 06minWaziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.
-
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji
06/02/2024 Duração: 10minFebruari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 6 Februari 2024
06/02/2024 Duração: 21minWaziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.
-
Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao
03/02/2024 Duração: 10minNi nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 2 Februari 2024
02/02/2024 Duração: 18minAustralia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.
-
Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi
02/02/2024 Duração: 06minWakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.
-
Taarifa ya Habari 1 Februari 2024
02/02/2024 Duração: 06minWaziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.
-
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia
02/02/2024 Duração: 12minKuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.
-
Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"
01/02/2024 Duração: 08minDjay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.
-
Taarifa ya Habari 30 Januari 2024
30/01/2024 Duração: 19minWa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu ya makato ya kodi.
-
Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya
30/01/2024 Duração: 07minMadini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
-
Taarifa ya Habari 29 Januari 2024
30/01/2024 Duração: 05minNew Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.
-
Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
30/01/2024 Duração: 08minKuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.