Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 107:16:35
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Taarifa ya Habari 28 Novemba 2023
28/11/2023 Duração: 18minUpinzani wa shirikisho unaendelea kuikosoa serikali baada ya hukumu ya mahakama kuu, kuamuru kuwa kuweka watu ndani ya vizuizi vya uhamiaji kwa muda usiojulikana nchini Australia ni kinyume cha sheria.
-
Australia ya elezewa: Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
28/11/2023 Duração: 12minIkiwa mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, ikiwa ilifanyika hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
-
Taarifa ya Habari 27 Novemba 2023
27/11/2023 Duração: 06minMateka 17 wa Israel wame achiwa huru na wafungwa 39 waki Palestina nao pia wame achiwa huru katika siku ya tatu ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas.
-
Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua
27/11/2023 Duração: 10minHakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.
-
Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu"
27/11/2023 Duração: 09minWanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.
-
Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023
24/11/2023 Duração: 19minWaziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.
-
Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia
24/11/2023 Duração: 06minTimu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.
-
Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine"
23/11/2023 Duração: 13minWanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.
-
Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023
21/11/2023 Duração: 21minTakwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.
-
Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko
18/11/2023 Duração: 11minWakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023
17/11/2023 Duração: 19minWaziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.
-
Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023
14/11/2023 Duração: 18minSerikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.
-
Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi
14/11/2023 Duração: 18minShirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.
-
Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023
07/11/2023 Duração: 21minSerikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.
-
Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili
07/11/2023 Duração: 07minMelbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.
-
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi
03/11/2023 Duração: 12minWakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.
-
Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023
03/11/2023 Duração: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.
-
Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan
02/11/2023 Duração: 05minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao
02/11/2023 Duração: 04minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023
31/10/2023 Duração: 21minWaziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.