Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 107:16:35
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023

    29/08/2023 Duração: 17min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.

  • Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia

    29/08/2023 Duração: 12min

    Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yametokea kwa ma milioni ya miaka.

  • Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda

    27/08/2023 Duração: 07min

    Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.

  • Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney

    23/08/2023 Duração: 09min

    Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.

  • Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023

    22/08/2023 Duração: 16min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.

  • Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika"

    22/08/2023 Duração: 07min

    Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.

  • Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza

    22/08/2023 Duração: 09min

    Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.

  • Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023

    20/08/2023 Duração: 18min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.

  • Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia

    20/08/2023 Duração: 10min

    Tofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.

  • Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"

    17/08/2023 Duração: 10min

    Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.

  • Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria"

    17/08/2023 Duração: 11min

    Ni kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.

  • Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023

    15/08/2023 Duração: 15min

    Takwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.

  • Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru"

    15/08/2023 Duração: 07min

    Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.

  • Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023

    15/08/2023 Duração: 06min

    Wazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi ya G4S.

  • Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?

    09/08/2023 Duração: 11min

    Australians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the information that communities can expect to help guide their decisions at the polls. - Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?

  • Taarifa ya Habari 8 Agosti 2023

    08/08/2023 Duração: 17min

    Serikali ya New South Wales inawekeza $5.8 milioni kwa utoaji wa makaazi ya wanawake na watoto kote jimboni NSW wanao kimbia unyanyasaji na vurugu ya nyumbani.

  • Dkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge"

    08/08/2023 Duração: 10min

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu wanaopinga mkataba wa uendeshaji bandari.

  • Taarifa ya Habari 7 Agosti 2023

    07/08/2023 Duração: 08min

    Serikali itawasilisha hatua mpya zaku imarisha sheria za kodi, kwa ajili yaku zuia kashfa kama uvujaji wa kampuni ya PriceWaterhouse Coopers.

  • Taarifa ya Habari 6 Agosti 2023

    06/08/2023 Duração: 16min

    Wana harakati wa kampeni ya Ndio wametupilia mbali matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni, yanayo dokeza uungwaji mkono wa the Voice unapungua.

  • Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali

    06/08/2023 Duração: 11min

    Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.

página 17 de 26