Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 107:16:35
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 21 Mei 2024

    21/05/2024 Duração: 18min

    Upinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.

  • Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"

    21/05/2024 Duração: 09min

    Wana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.

  • Taarifa ya Habari 20 Mei 2024

    20/05/2024 Duração: 08min

    Serikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maoni.

  • Ukatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo

    20/05/2024 Duração: 07min

    Watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana kutokana na kuwepo kwa ongezeko la kubwa la ukatili katika kipindi cha hivi karibuni hali inayoendelea kutia wasiwasi.

  • Taarifa ya Habari 17 Mei 2024

    17/05/2024 Duração: 17min

    Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.

  • Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika

    17/05/2024 Duração: 11min

    Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.

  • Jinsi ya kuomba kazi

    15/05/2024 Duração: 11min

    Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

  • Namna yakupata leseni yakuendesha gari

    15/05/2024 Duração: 12min

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

  • Taarifa ya Habari 14 Mei 2024

    14/05/2024 Duração: 17min

    Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.

  • Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC

    14/05/2024 Duração: 09min

    Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Taarifa ya Habari 10 Mei 2024

    10/05/2024 Duração: 18min

    Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.

  • Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho

    10/05/2024 Duração: 08min

    Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.

  • Taarifa ya Habari 9 Mei 2024

    09/05/2024 Duração: 06min

    Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo.

  • Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo

    09/05/2024 Duração: 06min

    Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.

  • Taarifa ya Habari 7 Mei 2024

    07/05/2024 Duração: 20min

    Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.

  • Understanding the profound connections First Nations have with the land - Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi

    06/05/2024 Duração: 09min

    The land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belonging, and way of life. - Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.

  • Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"

    04/05/2024 Duração: 10min

    Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.

  • Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo

    03/05/2024 Duração: 06min

    Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.

  • Taarifa ya Habari 3 Mei 2024

    03/05/2024 Duração: 17min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmoja mjini Perth katika tukio la uvamizi wa nyumba.

  • MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"

    03/05/2024 Duração: 08min

    MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.

página 7 de 26