Nyumba Ya Sanaa

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 8:03:12
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Episódios

  • Afrobongo na Bruce Africa

    06/04/2024 Duração: 20min

    Makala haya hukuletea historia ya sanaa na wasani barani Afrika.

  • Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na Sam Silver

    30/03/2024 Duração: 20min

    Sam Silver  anazungumza naye Steve Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii.

  • Muziki wa Taarab na chid boy mpiga kinanda wa bendi ya nakshi nakshi

    16/03/2024 Duração: 20min

    Muziki wa Taarab unashehenezwa na mirindimo ya vyombo kwa kisasa sambamba na Kinanda , Kutana na Chid Boy Mpiga kinanda wa Bendi ya Nakshi Nakshi na Mmiliki wa Bendi hiyo.

  • Muziki wa kizazi kipya na Kadason kutoka nchini Tanzania

    09/03/2024 Duração: 20min

    Sanaa ya muziki wa kizazi kipya.

página 2 de 2