Muziki Ijumaa

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 4:09:41
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Episódios

  • Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji

    31/08/2024 Duração: 10min
  • Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika

    19/07/2024 Duração: 10min

    Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.

  • Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa

    28/06/2024 Duração: 15min

    Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.

  • Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa

    07/06/2024 Duração: 10min

    Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha

  • Muziki Ijumaa

    27/04/2024 Duração: 10min

    Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.

  • Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda

    19/04/2024 Duração: 10min

    Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.

  • Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe

    26/01/2024 Duração: 10min

    Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.

  • Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa

    22/12/2023 Duração: 10min

    Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.

  • Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka

    18/11/2023 Duração: 10min

    Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.

  • Burudani ndani ya makala muziki ijumaa na Minzilet Ijai

    29/09/2023 Duração: 10min
  • BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA

    15/09/2023 Duração: 10min

    Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio

  • Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza

    11/09/2023 Duração: 10min

    Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.

  • Burudani ya Muziki

    25/08/2023 Duração: 10min

    Wiki hii  upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.

  • Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki

    18/08/2023 Duração: 09min

    Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma

  • Muziki Ijumaa

    15/08/2023 Duração: 10min

    Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.

  • Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali

    22/07/2023 Duração: 09min

    Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.

  • Muziki Ijumaa makala ya burudani tosha

    18/07/2023 Duração: 10min

    Jupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.

  • Burudani ya muziki

    15/07/2023 Duração: 10min

    Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio

  • Miziki ya aina yake ndani ya Muziki Ijumaa

    23/06/2023 Duração: 10min

    Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda. Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala haya kwa uhondo kamili.

  • Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali

    09/06/2023 Duração: 10min

    Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

página 1 de 2