Informações:
Sinopse
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
Episódios
-
Ukaguzi wa Nyama
25/04/2018 Duração: 10minNdugu S. Karata akizungumzia Ukaguzi wa Nyama, Majukumu ya AfisaAfya kama mkaguzi wa nyama, sheria zinazosimamia Ukaguzi wa Nyama, malengo ya ukaguzi nakadhalika.
-
Homa ya Dengi
11/04/2018 Duração: 08minNdugu Swahibu Karata akitoa elimu ya afya kuhusu historia, dalili paka njia za kujikinga na ugonjwa wa homa ya dengi.
-
Ugonjwa wa Listeria
19/03/2018 Duração: 04minHistoria, visababishi, jinsi unavyoenea, makundi ya watu walio hatarini zaidi, madhara lakini pia ni kwa namna gani tunaweza kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa Listeria - Swahibu A. Karata & Yusuph Uzuwila
-
Kinga ni bora kuliko tiba.
04/03/2018 Duração: 02minAfisaAfya Karata akiendelea kujadili chanjo na jinsi ambavyo Chanjo huweza kumkinga binadamu dhidi ya maradhi
-
Kinga ni bora kuliko tiba.
04/03/2018 Duração: 02minAfisaAfya Karata akijadili jinsi ambavyo chanjo husaidia kumkinga binadamu na maradhi.
-
-
Afya kwanza
17/02/2018 Duração: 20sAfya kwanza. Bw, Karata akiitambulisha show kwa wasikilizaji wake