Voa Express - Voice Of America

Shirika lisilo la serikali Generation Kenya linachangia kwa kuwapatishia ajira maelfu ya vijana - Desemba 04, 2024

Informações:

Sinopse

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.