Voa Express - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 9:59:37
- Mais informações
Informações:
Sinopse
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Episódios
-
VOA Express - Februari 14, 2025
14/02/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Waandishi wa habari wanaelezea mtazamo wao iwapo redio bado ina mchango mkubwa kwa jamii katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. - Februari 13, 2025
13/02/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 12, 2025
12/02/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Changamoto zinazowakabili wasichana na wanawake katika ufikiaji wa masomo ya sayansi katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya STEM. - Februari 11, 2025
11/02/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanaharakati wa ukeketaji Tanzania anasema kuna mafanikio makubwa katika utoaji elimu kwa jamii ili kuzuia ukeketaji nchini humo. - Februari 10, 2025
10/02/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Super Bowl ya 59 Marekani itachezwa Februari tisa na mafahari wawili wa timu ya Kansas City Chiefs na Philadelphia Eagles huko New Orleans. - Februari 07, 2025
07/02/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 06, 2025
06/02/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan - Februari 05, 2025
05/02/2025 Duração: 29minWadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan
-
VOA Express - Februari 04, 2025
04/02/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Msanii Tems ameshinda tuzo za 67 za Grammy nchini Marekani katika kipengele cha Best African Music Performance. - Februari 03, 2025
03/02/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Januari 31, 2025
31/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wakulima wa kahawa Afrika Mashariki walalamikia kuhujumiwa na mamlaka na madalali - Januari 30, 2025
30/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
-
VOA Express - Januari 29, 2025
29/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana huko mashariki mwa DRC wanaelezea hali ya mapigano katika eneo na namna inavyoathiri shughuli zao za kila siku za kuleta maendeleo. - Januari 28, 2025
28/01/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Waasi wa M23 wameingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo - Januari 27, 2025
27/01/2025 Duração: 29minWaasi wa M23 wameingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo
-
VOA Express - Januari 24, 2025
24/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Hospitali za umma na za kibinafsi nchini Kenya zina uhaba mkubwa wa dawa za HIV huku maafisa wa afya wanauita mgogoro usio wa kawaida. - Januari 23, 2025
23/01/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Januari 22, 2025
22/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA, Tanzania wavutia vijana wengi kuelekea uchaguzi mkuu - Januari 21, 2025
21/01/2025 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Vijana wa Afrika mashariki wanaelezea matarajio yao kwa utawala mpya wa Rais mteule wa Marekani Donald Trump ambaye anaapishwa leo Jumatatu. - Januari 20, 2025
20/01/2025 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Experimente 7 dias grátis
- Acesso ilimitado a todo o conteúdo da plataforma.
- Mais de 30 mil títulos, entre audiobooks, ebooks, podcasts, séries, documentários e notícias.
- Narração dos audiolivros feita por profissionais, entre atores, locutores e até mesmo os próprios autores.