Wimbi La Siasa

Uchaguzi mkuu wa Ghana: Chama tawala NPP kushindwa na chama cha upinzani NDC unatoa funzo gani?

Informações:

Sinopse

Nchini Ghana, rais wa zamani John Dramani Mahama alipata ushindi mkubwa na kumaliza uongozi wa miaka minane wa chama tawala New Patriotic Party (NPP) chake  rais Nana Akufo-Addo, anayeondoka madarakani baada ya kuongoza kwa mihula miwili.