Wimbi La Siasa

Hatua ya rais wa Kenya kuwateua wandani wa mtangulizi wake yazua maswali

Informações:

Sinopse

Makala ya wimbi imeangazia hatua ya rais wa Kenya, William Ruto, kuwajumuisha katika serikali yake mawaziri kadhaa waliohudumu wakati wa utawala wa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta, na vile vile wandani wake kinara wa upinzani Raila Odinga., na hii ni licha ya yeye kuapa kutohusisha wapinzani kwenye Serikali yake; Ruben Lukumbuka anazungumza na Edwin Kegoli pia Torosterd Alenga ni wataalamu wa siasa za Kenya.