Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 24:59:07
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episódios
-
Romania yachunguza iwapo uchaguzi wa Rais wa Jumapili uliingiliwa kimitandao. - Desemba 12, 2024
12/12/2024 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Marekani haitaki kuona ISIS wanajikita Syria - Desemba 11, 2024
11/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Zaidi ya watu darzeni moja wahofiwa kufa kwenye ajali ya boti Misri - Desemba 10, 2024
10/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa Syria, Bashar al-Assad adaiwa kukimbilia Russia - Desemba 09, 2024
09/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Wakimbizi wa Malawi waanza kulipwa ridhaa kutokana na hasara waliopata kutokana na El Nino. - Desemba 06, 2024
06/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Waziri Mkuu wa Mali asimamishwa kazi baada ya kukosoa serikali kwa kuchelewesha uchaguzi wa kidemokrasia. - Desemba 05, 2024
05/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Kenya kutafuta washirika wengine wa kukarabati uwanjwa wa ndege wa Jomo Kenyatta baada ya mkataba wa Adani kufutwa. - Desemba 04, 2024
04/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Alfajiri - Desemba 03, 2024
03/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa Marekani Joe Biden Jumapili ameanza ziara ya siku 3 barani Afrika akianzia Cape Verde na kisha Angola. - Desemba 02, 2024
02/12/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Alfajiri - Novemba 29, 2024
29/11/2024 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Umoja wa Mataifa wakaribisha kuongezwa muda wa kupelekwa misaada ya kibinadamu Sudan - Novemba 28, 2024
28/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Zaidi ya washukiwa 1,000 wakamatwa na Interpol kutokana na wizi wa kimitandao barani Afrika. - Novemba 27, 2024
27/11/2024 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 26, 2024
26/11/2024 Duração: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijeshi - Novemba 25, 2024
25/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Kundi jipya la wanamgambo kwa jina Lakurawas, laibuka kaskazini magharibi mwa Nigeria - Novemba 22, 2024
22/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Viongozi wa mataifa ya kiarabu wampongeza Trump, wakiwa na imani kwamba atasaidia kurejesha amani Mashariki ya Kati - Novemba 21, 2024
21/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Alfajiri - Novemba 20, 2024
20/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Chama cha Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye chaelekea kupata wingi wa viti vya wabunge baada ya uchaguzi wa Jumapili. - Novemba 19, 2024
19/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi afanya ziara ya kwanza nchini Nigeria. - Novemba 18, 2024
18/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Raia wa kigeni walio nusurika na mapigano waomba msaada kurejea makwao - Novemba 15, 2024
15/11/2024 Duração: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.