Voa Express - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 9:59:26
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. 

Episódios

  • Vijana nchini Uganda inaripotiwa wanapata shida ya afya ya akili kutokana na wazazi au walezi kukosa muda wa kusikiliza mahitaji yao. - Februari 28, 2025

    28/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Swahilipot Hub ya Mombasa nchini Kenya inaelezea changamoto katika uhamasishaji na ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kung'ara kimataifa. - Februari 27, 2025

    27/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Februari 26, 2025

    26/02/2025 Duração: 30min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Kubadilika mitaala Uganda kwapelekea changamoto kwenye mitihani ya kidato cha 4 - Februari 25, 2025

    25/02/2025 Duração: 30min

    Kubadilika mitaala Uganda kwapelekea changamoto kwenye mitihani ya kidato cha 4

  • Vijana Kenya waeleza juu ya utafiti ulioonyesha matamanio ya wengi kusoma nje ya nchi - Februari 24, 2025

    24/02/2025 Duração: 29min

    Vijana Kenya waeleza juu ya utafiti ulioonyesha matamanio ya wengi kusoma nje ya nchi

  • Mratibu wa mkoa katika Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania anaelezea mtazamo wake na changamoto wanazopitia wanandoa katika jamii zetu. - Februari 21, 2025

    21/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana nchini Tanzania wanaelezea changamoto wanazoziona wakati wanapotaka kujihusisha na nafasi za uongozi katika siasa. - Februari 20, 2025

    20/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Februari 19, 2025

    19/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa - Februari 18, 2025

    18/02/2025 Duração: 29min

    Mwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa

  • Vijana katika mji wa Bukavu nchini DRC wanaelezea changamoto za ghafla wanazopitia baada ya kundi la M23 kuingia kwenye mji huo. - Februari 17, 2025

    17/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Februari 14, 2025

    14/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Waandishi wa habari wanaelezea mtazamo wao iwapo redio bado ina mchango mkubwa kwa jamii katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. - Februari 13, 2025

    13/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Februari 12, 2025

    12/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Changamoto zinazowakabili wasichana na wanawake katika ufikiaji wa masomo ya sayansi katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya STEM. - Februari 11, 2025

    11/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanaharakati wa ukeketaji Tanzania anasema kuna mafanikio makubwa katika utoaji elimu kwa jamii ili kuzuia ukeketaji nchini humo. - Februari 10, 2025

    10/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Super Bowl ya 59 Marekani itachezwa Februari tisa na mafahari wawili wa timu ya Kansas City Chiefs na Philadelphia Eagles huko New Orleans. - Februari 07, 2025

    07/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Februari 06, 2025

    06/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan - Februari 05, 2025

    05/02/2025 Duração: 29min

    Wadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan

  • VOA Express - Februari 04, 2025

    04/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Msanii Tems ameshinda tuzo za 67 za Grammy nchini Marekani katika kipengele cha Best African Music Performance. - Februari 03, 2025

    03/02/2025 Duração: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Experimente 7 dias grátis

Experimente 7 dias grátis

  • Acesso ilimitado a todo o conteúdo da plataforma.
  • Mais de 30 mil títulos, entre audiobooks, ebooks, podcasts, séries, documentários e notícias.
  • Narração dos audiolivros feita por profissionais, entre atores, locutores e até mesmo os próprios autores.
Experimente 7 dias Grátis Promoção válida para novos usuários. Após 7 dias, será cobrado valor integral. Cancele quando quiser.

Compartilhar